Wednesday, November 7, 2012

VIONGOZI WAKIFURAHIA PICHA YA PAMOJA

Madiwani wapya wa chama cha mapinduzi mkoani Ruvuma  Bw. Maurus Lungu( kushoto) wa  kata ya Mletele manispaa ya Songea na Francis Nchimbi wa pili( kulia) wa kata ya Mpepai iliyopo wilayani Mbinga, wakiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa chama hicho ngazi ya mkoa Mwenyekiti CCM Bw. Oddo Mwisho wa pili kushoto, katibu wa CCM wa mkoa huo Bi. Verena Shumbusho wa tatu kutoka kushoto, katibu mwenezi wa mkoa Bw. Benedict Ngwenya wa pili kulia na Katibu wa uchumi na fedha Bw. Silim Mohamed wa kwanza kulia wakiwa nje ya ofisi za chama hicho mjini Songea.

No comments: