Saturday, November 3, 2012

TASWIRA KATIKA JAMII, HOSPITALI YA WILAYA YA MBINGA

















 Choo hiki kinatumika na wagonjwa na wafanyakazi wa Kitengo cha meno, hospitali ya wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma, kinalalamikiwa kwa kudaiwa kujengwa kwa thamani ya shilingi milioni 18. Madai hayo ni kwamba fedha hizo hazilingani na thamani halisi ya ujenzi wa choo hicho. (Picha na nyandindi2006.blogspot.com)

No comments: