Thursday, November 1, 2012

NGAGA: HAKI NA USAWA WA KIJINSIA HULETA MAENDELEO

Mkuu wa wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma, Bi. Senyi Ngaga akizungumza na baadhi ya wakazi wa wilaya hiyo, (Hawapo pichani) katika ukumbi wa Jumba la maendeleo Mbinga mjini katika mdahalo uliohusu haki na usawa wa kijinsia katika shughuli za maendeleo ambao uliratibiwa na mtandao wa mashirika yasiyo ya kiserikali (MBINGONET). Kutoka kushoto ni katibu wa mtandao huo Bw. Benedict Luena na Mwenyekiti wake Bw. Vincent Kapinga (Picha na Kassian Nyandindi).

No comments: