Thursday, November 1, 2012

USAFIRI WA TRENI KUPUNGUZA KERO YA USAFIRI DAR

 
Abiria wakigombea kupanda treni kutoka katikati ya jiji kuelekea Ubungo.
Kamera yetu leo ilitua katika ofisi ya mkuu wa kituo kinachodili na usafiri huo, Bi. Rose Ngauga na kuzungumza mambo kadhaa kuhusiana na usafiri huo.
Bi. Ngauga alisema kuwa usafiri huo siyo nguvu ya soda kama inavyodaiwa na baadhi ya watu na kwamba utakuwa endelevu. (Picha kwa hisani ya Francis Godwin)

No comments: