Saturday, November 10, 2012

KERO YA UPATIKANAJI WA MAFUTA


Madereva wanaoendesha pikipiki wilayani Mbinga mkoa wa Ruvuma maarufu kwa jina la Yeboyebo, wakiwa katika foleni ya kununua mafuta katika kituo cha Gapco kilichopo mjini hapa, kero hii ya upatikanaji wa nishati hiyo muhimu inaendelea kulitesa taifa hivyo serikali haina budi kuendelea kufanya jitihada za kumaliza tatizo hili. (Picha na nyandindi2006blogspot.com)

No comments: