Saturday, November 3, 2012

KICHOMEO TAKA HIKI KATIKA HOSPITALI YA WILAYA YA MBINGA KIONDOLEWE HARAKA ILI KUNUSURU AFYA ZA WAGONJWA

Hiki ni kichomeo taka ambacho kimejengwa katika eneo la Hospitali ya wilaya ya Mbinga(Mbuyula) mkoani Ruvuma. Wagonjwa wamekuwa wakilalalamika kwamba kichomeo hicho kimekuwa kero kwao kutokana na kujengwa jirani na majengo wanayopatiwa matibabu, ambapo wakati wa uchomaji wa taka mbalimbali kimekuwa kikitoa harufu kali jambo ambalo wameutaka uongozi wa hospitali hiyo kuchukua hatua za makusudi kukiondoa na kukijenga katika eneo lingine mbali kidogo na hospitali hiyo. (Picha na nyandindi2006.blogspot.com)

No comments: