Wednesday, November 7, 2012

KIONGOZI AKIZUNGUMZA

Katibu wa CCM mkoa wa Ruvuma Bi. Verena Shumbusho akizungumza wakati wa kikao cha mwenyekiti wa chama hicho na waandishi wa habari leo mjini songea, kulia ni mwenyekiti mpya wa chama hicho Bw. Oddo Mwisho. Katibu huyo alikuwa akisisitiza upendo na msikamano miongoni mwa wanachama wa chama hicho utiliwe mkazo na kutekelezwa kwa vitendo.

No comments: