Monday, November 5, 2012

UJENZI WA NGUZO ZA UMEME MBINGA UWE ENDELEVU







Fundi wa shirika la ugavi wa umeme Tanzania (TANESCO) tawi la wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma, akiwa kazini eneo la Mbinga mjini. 







TASWIRA KATIKA JAMII:

Baadhi ya wakazi wa mji huo wameishukuru serikali kwa kuendelea kusambaza laini za nguzo za umeme katika mji huo na kuitaka iendelee kufanya hiyo ili upatikanaji wa nishati hiyo muhimu majumbani iweze kupatikana kwa urahisi.

Wilaya ya Mbinga katika miaka kadhaa iliyopita ilikuwa ni vigumu kupatikana kwa nishati hiyo, licha ya wilaya hiyo kuwa na uchumi mzuri ambao unakua kwa kasi sasa.(Picha na nyandindi2006.blogspot.com)

No comments: